ASKOFU wa Dayosisi ya Central Tanganyika, Godfrey Mhogolo amefariki dunia leo Nchini Afrika Kusini alikokuwa amekwenda kwa matitabu.. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kanisa la Angilikana Dodoma jana, ilisema kuwa Askofu Mhogolo kabla ya kufikwa na mauti alikuwa akitibiwa katika hospitali ya Milpark huko Johanesburg, Afrika Kusini. Askofu Mhogolo alikuwa askofu wa tano wa dayosisi ya Central Tanganyika na atazikwa katika viwanja vya kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Mjini Dodoma. Hata hivyo Mchungaji Michael Nchimbi alisema mipango ya mazishi inaendelea na taarifa zitatolewa baadaye. Mungu ametoa na sasa ametwaa Jina lake lihimidiwe.
Friday, March 28, 2014
ASKOFU WA KANISA LA ANGELIKANA DAYOSISI YA CENTRAL TANGANYIKA, GODFREY MHOGOLO AFARIKI DUNIA
at 12:42:00 AM |  No comments
Share
HABARI ZA INJILIPosted by Unknown
- KWENYE MECHI YA SIMBA NA YANGA KUNA VITUKO...Hivi ndivyo ilivyokuwa Bofya hapa ujioneeeee
- HII NI AJALI MBAYA SANA ILIYOHUSISHA MABASI 2 KUGONGANA USO KWA USO NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 30 PAPOHAPO..Samahani kwa picha
- Maajabu haya TAZAMA MAITI ZA WATU ZILIZO KAUSHWA NA KUTUPWA..Tazama picha hizi
- MASANJA MKANDAMIZAJI MSANII MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA..SOMA HAPA.
- TAZAMA JINSI AJALI ZA PIKIPIKI ZINAVYOLETA BALAA
0 comments: