Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu kuwa mkuu wa mkoa wa
Kagera,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo
Ikulu,jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Meja Jenerali Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga kuwa mkuu wa mkoa wa
Katavi,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo
Ikulu,jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Elias Kyunga kuwa mkuu wa mkoa wa
Geita,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo
Ikulu,jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Meja Jenerali Mstaafu Emmanuel Edward Maganga kuwa mkuu wa mkoa wa
Kigoma,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo
Ikulu,jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Jeshi la Polisi,Zelote
Steven Zelote kuwa mkuu wa mkoa wa Rukwa,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha
Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo Ikulu,jijini Dar na kuhudhuriwa na
viongozi mbalimbali wa Serikali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Mh.Anne Kilango Malecela kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,Hafla hiyo fupi
ya kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo Ikulu,jijini Dar na
kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Paul Christian Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Dar Es
Salaam,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo
Ikulu,jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.
0 comments: