Monday, March 14, 2016

BASI LA LEINA TOURS LA KAHAMA- DAR LAPATA AJALI,LATUMBUKIA MTARONI

at 12:20:00 AM  |  No comments

Basi la Leina Tours lililokuwa likitokea Kahama kwenda Dar es Salaam, limeacha njia na kutumbukia katika mtaro eneo la Kimara Bucha usiku wa kuamkia leo
Idadi ya waliofariki haijafahamika ila waliojeruhiwa ni zaidi ya 30 na walikimbizwa Haospitali ya Mwananyamala na Muhimbili.
http://nicemediaworkstz.blogspot.com/

Share
Posted by Unknown
About the Author

Write admin description here..

0 comments:

Text Widget

Blogger templates. Proudly Powered by Blogger.