Msimamizi
wa Duka la MSD Arusha Twaha Kabandika akitoa maelezo kwa Naibu Waziri
Kigwangalla wa namna mfumo unaotumika kwa mauzo unavyofanya kazi.Kulia
ni M/Kiti wa Bodi MSD, Prof Idris Mtulia, Mkurugenzi wa MSD Laurean
Bwanakunu (Kushoto0 na Mkuu wa Wilaya ya Arusha mjini Fadhili Nkuru.
![]() | ||
0 comments: