NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Monday, October 20, 2014
KIPINDI MAARUFU CHA USIKU WA MOTO CHA RADIO 5 ARUSHA CHAWAKUTANISHA WANASALAMU NA WADAU KUTOKA MIKOA ZAIDI YA 20 NA KUTOA POLE KWA WAGONJWA..Tazama hapa
at 2:29:00 AM | 
No comments
Baadhi ya Wanasalamu wa kituo cha Redio 5 chenye makao yake makuu njiro jijini
Arusha
wakikabidhi sehemu ya msaada wao kwa uongozi wa hospitali ya mkoa
Mt.meru
jana,kulia ni mratibu wa salamu kupitia kipindi cha usiku wa
moto
Yacob Simba kushoto ni Sista Shubi Mjawizi,anayefatia ni Sista Merry Stalla
Yacob Simba akiongea na baadhi ya wanasalamu katika viwanja vya hospitali ya
Mt.Meru
anayefatia ni
Godfrey
Thomas ambao ni waratibu wa shughuli hiyo kupitia kituo cha Redio 5 katika kipindi usiku wa moto kinachorushwa kwanzia saa saba usiku hadi kumi na moja alfajiri kwa wiki nzima
Yacob Simba akikabidhi ndoo ya mafuta kwa uongozi wa hospitali ya
Mt.Meru
jana baadaa ya wanasalamu kutoka mikoa zaidi 21 kufika hospitalini hapo kuwafariji wagonjwa
Vicky Mwakoyo ambaye ni Creative Meneja wa kampuni ya Tan
Communication Media
inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha,katikati ni Yacob Simba
na
Godfrey Thomas
wakiwa wanajadili jambo
Kulia ni Lucy Bongole ambaye ni mwanasalamu wakiwa wanajadiliana na wenzake katika viwanja vya hospitali ya
Mt.Meru
katikati ni Zuhura Mbise maarufu kwa jina la
mama
Sosy,kushoto ni Sister Monduly
Wanasalamu wakiwa wanajadiliana
Sehemu ya msaada uliotolewa na wanasalamu kwa wagonjwa hospitali ya
Mt.Meru
jijini Arusha
Kushoto Mtangazaji maarufu wa Redio 5 kupitia kipindi chake cha love cuts kinachorushwa jumatatu hadi ijumaa saa nne hadi saa saba usiku Semio Sonyo akiwa na mtangazaji machachari aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia kipindi chake cha usiku wa Moto
kinachorushwa kwanzia saa saba usiku hadi kumi na moja alfajiri kwa wiki nzima
Godfrey Thomas aka GT wakifurahia jambo
Nesi wa hospitali ya
Mt.Meru
Sista Merry Stella akitoa neno la shukrani kwa wanasalamu waliofika kuwatembela wagonjwa hospitalini hapo ambapo amewataka watu na mashirika mbalimbali kuiga mfano huo kwa kuwa mahitaji ya wagonjwa ni makubwa
Muonekano katika hospitali ya
Mt.Meru
jijini Arusha
Wanasalamu wakiwa wamevalia T-sheti za Redio 5
Wapili kulia ni mmiliki wa
jamiiblog
Pamela Mollel wakwanza kushoto ni
Godfrey Thomas aka GT
wakiwa katika picha na baadhi ya wanasalamu jana zoezi hilo liliratibiwa na kituo cha Redio 5 kupitia kipindi cha usiku wa moto
Baadhi ya wanasalamu wakisubiria kuingia katika wodi mbalimbali kuwajulia hali wagonjwa hospitalini hapo
“
Pole
mama Mungu atakuponya”hayo ni maneno ya wanasalamu
Yacob Simba mtangazaji wa Redio 5 akiwa anamjulia hali mama mgonjwa katika wodi ya wanawake
Mwanasalamu mkongwe kutoka Arusha
Baba
Ali Mbondei(aliyevalia tisheti ya Redio 5)akiwa na wanasalamu wenzake wakimjulia hali mgonjwa katika wodi ya wanaume
Wanasalamu wakiwa wanasoma dua kwa mgonjwa wodi ya wanaume katika hospitali ya
Mt.Meru
jijini Arusha
Wanasalamu wakiwa wanaingia wodi ya saba kuwaona wagonjwa
Godfrey Thomas
aka GT katikati akiwa amepozi na mashabiki wake ambao ni wanasalamu kupitia kipindi cha usiku wa moto cha kituo cha Redio 5 jijini Arusha
Wanasalamu kutoka mikoa mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja katika viwanja vya hospitali ya
Mt.Meru
mara baada ya kufanya ziara ya kuwatembelea wagonjwa
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
NICE STUDIO YA JIJINI ARUSHA YAPANIA KUWAINUA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI.Tazama hapa.....
WATU MAARUFU WA WAFIKA KUUAGA MWILI WA KAPTENI JOHN KOMBA HAKIKA ALIKUWA MTU WA WATU...Tazama hapa
UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI..UNGO HUU UNATUMIKA KUANGALIA MPIRA LIVE KUTOKA BRAZIL..Tazama hapa..
WACHINA WA KAGASHEKI WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA.
SERIKALI YA KOREA YAGHARAMIA UJENZI WA HOSPITAL YA CHANIKA UTAKAO GHARIMU BILIONI 8.8 ZA KITANZANIA
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: