Deo Sanga ambaye ni Mbunge na Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Njombe, Adam
Ismail Msigwa (pichani) ambaye alijukana kwa jina maarufu kama
'Shilingi ni Vita' amefariki nyumbani katika
Mitaa wa Kwivaha Njombe mjini na mazishi yalifanyika katika kijiji cha lisitu.
0 comments: