Read More
Featured
Thursday, February 9, 2017
Tuesday, January 31, 2017
TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016-2017 LIVE KUTOKA NECTA
at 11:16:00 AM |  No comments
MATUKIOPosted by Unknown
Tuesday, January 10, 2017
NA: ANDREA NGOBOLE PMT
Heri ya
mwaka mpyaaa wa 2017 ndugu msomaji wa princemediatz blog, facebookpage na
instargram ni matumaini yangu kuwa umeuanza mwaka vyema na hatuna budi
kumshukuru Mungu kutujalia afya na uzima tele.
Leo nimeona
tushirikishane jambo moja kubwa nalo NI
ukweli usiopingika ya kuwa kila mmoja wetu hupenda kuwa mtaalamu wa jambo
Fulani ila sasa njia za kuwa bingwa katika jambo husika ndio tabu kuu
inayowakabili wengi kwani hatufahamu ni kwa namna gani tunaweza kuwa wataalamu
wabobezi katika fani husika.
Mathalani
unapenda kuwa mtaalamu wa uchumi, siasa, uandishi wa habari na kadhalika huna
budi kwenda chuoni kujifunza utaalamu husika ambapo ni jambo zuri kwani utakuwa
,mtaalamu wa taaluma husika lakini huwezi kuwa bingwa wa taaluma hiyo; sasa
huenda hujanielewa naposema kuwa bingwa katika taaluma husika ninamaanisha kuwa
uwe mtaalamu mbobezi katika fani husika ndio maana ukienda hospitali kuna madaktari
na madaktari bingwa wa magonjwa ya akina mama na watoto, wa mifupa, saratani na
kadhalika hii hutokea baada ya wao kujipambanua katika jambo Fulani na kutilia
mkazo katika fani husika sasa na wewe unaweza kuwa bingwa katika jambo lolote
unalotaka kuwa kama utafanya yafuatayo
Joseph Mayagila mkurugenzi wa mafunzo chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha( AJTC) akifundisha katika moja ya semina zilizofundishwa chuoni hapo mwaka 2015 na wanaoonekana pichani pia ni baadhi ya wakufunzi wa chuo hicho wakimsikiliza kwa makini |
Kwa mujibu
wa Joseph Mayagila Mkurugenzi wa mafunzo chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha
(AJTC) anasema Ili uwe bingwa katika jambo unalolitaka unatakiwa uwe na kitu
kinachoitwa ONE HOUR HABIT yaani hii
ni tabia utakayoijenga ya kuwa na saa moja la kuifunza jambo hilohilo kila siku
katika maisha yako yote na huo muda lazima uuheshimu.
Kwa mfano
kwa siku moja kuna saa 24 lazima utenge saa
8 za kufanya kazi kama umeajiriwa saa 8 za kufanya shughuli zako binafsi
mbalimbali kama utakavyojipangia na saa 8 za kupumzika kwa maaana ya kulala ili
kuupumzisha mwili wako na ubongo wako uweze kufikiria mambo ya maendeleo
yajayo.
Sasa katika
yale masaa 8 ya kufanya shughuli zako binafsi tenga saa moja kwa maana ya
dakika 60 za kujifunza jambo moja ambalo unatamani kuwa bingwa kwa mfano
ukitaka kuwa mwanasheria bingwa wa sheria za ardhi inabidi usome vitabu
mbalimbali vinavyohusiana na sheria hizo pia ukitaka kuwa mjasiriamali pia
jenga utamaduni wa kusoma vitabu vinavyozungumzia maswala ya ujasiriamali
vilivyoandikwa na watu waliofanikiwa katika maswala ya biashara mfano vitabu vya Donald TRUMP ambaye
kwa sasa ndiye Raisi mteule wa Marekani
Mwanzo
utakuwa mgumu sana ila jitahidi kwa siku 21 mfululizo ujipe saa moja kujifunza
hicho kitu unachotamani kuwa bingwa na muda mzuri Zaidi ni saa tatu mpaka saa tano za usiku chagua
muda sahihi kwako kabla ya kwenda kulala uwe tayari umejifunza kitu katika
jambo husika na ukiweza kujenga mazoea ya kusoma vitabu hivyo kila siku kwa
hizo siku 21 basi utajenga tabia na ikishakuwa kuwa tabia utajenga mazoea kasha
kuwa utamaduni ambao utakufanya ufahamau mambo kwa upana Zaidi juu ya fani
husika na ukiweza kufanya kwa miezi 12 mfululizo mwisho wa siku utakuwa bingwa
wa taaluma husika ndio utakuwa bingwa wa jambo hilo ulitakalo mmhhh sasa
unaweza kuwa mvivu wa kusoma vitabu ila siku hizi mambo yamerahisishwa mno
kwani kupitia mitandao ya kijamii kuna Makala mbalimbali zinazozungumzia mada
inayohusiana na jambo ulitakalo kujifunza pia vipo vitabu vilivyorekodiwa kwa
sauti unaweza kusikiliza na mwisho wa siku kuna jambo utakuwa umejifunza na
ukilifanyia kazi utakuwa mtaalamu mbobezi katika jambo husika.
Kwa mfano
mie ni mwalimu ili niendele kuwa mwalimu bora Zaidi sina budi kujifunza jinsi
walimu wanavyofundisha darasani pia kwenye semina za ujasiriamali, mafunzo ya
mikutano ya injiili mfano mwalimu Mwakasege anavyofundisha katika mikutano yake
kwa hiyo kila siku ninasoma vitabu vinavyoelekeza jinsi ya kufundisha na pia
jinsi kuwaelewa wanafunzi wangu kama wamenielewa katika somo ninalofundisha,
ninajifunza kila siku juu ya somo ninalofundisha kwa kuongeza maarifa mapya yatakayonisaidia
kuweza kueleweka mbele ya wanfaunzi wangu nikiwa kanisani najifunza nikiwa
mtaani pia najifunza ili kuunoa Zaidi ubongo wangu.
Hivyo basi
unaweza kuwa mtaalamu mbobezi ama bingwa
katika jambo lolote lile ulitakalo kama tu utajipa muda wa saa moja la
kujifunza kitu kimoja kila siku mpaka uwe muelewa bingwa wa jambo husika,
jiulize mtu kuandika kitabu mpaka kikamilike humchukua si chini ya miezi mitatu
na ameshirikisha akili za watu wengi mpaka kukamilika kwa kitabu hicho wewe
unapokisoma kwa siku moja au saa moja unakuwa umefyonza ubongo wake na maarifa
yake ya miezi kadhaa kwa siku moja hapo unakuwa umeongeza maarifa makubwa sana
na utaweza kuwa bingwa wa taaluma husika
kama utasoma vitabu na mada Zaidi ya ishirini kwa mwezi mmoja na hii haihitaji
kulipia ada kwani ni elimu kubwa unayoipata bure kabisa kwa kujipa muda wa
kutosha kjifunza jambo jipya kila siku.
Mwaka huu wa
2017 uwe na lengo moja kubwa nalo ni kuwa bingwa katika jambo ulitakalo anza
taratibu na utajikuta unakuwa bingwa wa jambo hilo kama ni mwanamuziki uwe na
saa moja ya kujifunza kuimba, kama ni mwandishi kila siku uwe unaaandika Makala
moja, kama ni mkulima kila siku uwe na saa moja ya kupata maarifa ya ukulima
bora wa zao husika vivyo hivyo katika tasnia yoyote uitakayo naamini utakuwa
bingwa wa mabingwa.
Asante kwa kusoma makala hii uwe
na mwaka wenye mafanikio tele
NGOBOLE,
Andrea Ashery.
0755780131
MTU YOYOTE YULE ANAWEZA KUWA BINGWA KATIKA JAMBO LOLOTE ALITAKALO
at 1:24:00 PM |  No comments

MAKALAPosted by Unknown
Thursday, December 15, 2016
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
at 12:35:00 AM |  No comments
MAGAZETIPosted by Unknown
Wednesday, December 7, 2016
Habari Njema kwa waandishi wa habari za mitandaoni waliosajiliwa na Tanzania Bloggers Network nchini
at 12:19:00 PM |  No comments
Waendeshaji wamitandao ya kijamii (bloggers) wakipiga picha ya Selfie na Waziri wa habari na Uenezi mara baada ya kufunga kongamano la mkutano mkuu wa mwaka wa Tanzania Network (TBN) jijini Dar es Salaam leo
WAZIRI wa habari na Uenezi, Nape
Nauye, amesema siri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuingia madarakani ni
mitandao ya kijamii.
Akifunga
kongamano la mkutano mkuu wa Umoja wa Wanachama wa mitandao ya kijamii
(blogeers), Nape alisema CCM imeingia madarakani baada ya kuandikwa kwa upana
mkubwa katika mitandao ya kijamii.
Alisema
mitandao ya kijamii iko na nafasi kubwa katika jamii ambapo asilimia kubwa ya
Watanzania wanatumia mitandao ya kijamii ambapo habari nyingi wakati wa kampeni
walikuwa wakisoma katika mitandao hiyo.
“Leo nitoe
siri kwenu kuwa CCM kuingia madarakani ni ninyi mabloggers, hivyo nawapongezeni
na niko nanyi bega kwa bega” alisema Nauye
Aliitaka
mitandao hiyo kufuata maadili ya upashaji habari na kuepuka upotoshaji jambo
ambalo linaweza kuwa hatari kwa jamii hivyo kuwataka kuzingatia taaluma hiyo.
WAZIRI NAPE NAUYE AWAPONGEZA TBN KWA UPASHAJI WA HABARI AAHIDI MAKUBWA KWA BLOGGERS WA TBN
at 6:20:00 AM |  No comments