NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Friday, July 11, 2014
MTU MMOJA AFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA BAADA YA BASI LIJULIKANALO KWA JINA LA AMANI KUPATA AJALI HUKO TABORA..PITIA HII
at 2:55:00 AM | 
No comments
Basi la Amani Express likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata ajali usku wa kuamkia leo maeneo ya Salanda mkoani Tabora, ambapo mtoto wa miaka mitatu amepoteza maisha na abiria kadhaa wamepata majeraha. Mashuhuda wanahisi kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi. Pichani abiria wakitafuta vitu vyao
Abiria wakiendelea kutafuta vitu vyao
Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wakisubiri msaada wa usafiri
Basi la Amani likiwa limepinduka
Kikosi kazi cha Michuzi TV kilicho katika ziara ya kikazi mikoani kikihojiana na baadhi ya abiria asubuhi hii
" Ukiwa na tukio lolote tutumie kwa email yetu,
elihurumachao@gmail.com
Matukio yenye picha yatazingatiwa
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: