NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Friday, July 11, 2014
KIJANA HUYU AMENUSURIKA KUFA BAADA YA KUPATA AJALI MBAYA YA PIKIPIKI...Bofya hapa ujionee...TUNAOMBA RADHI KWA PICHA
at 2:42:00 AM | 
No comments
Kijana
aliyetambuliwa kwa jina Moja la Ally jana majira ya saa 2 Usiku aligongwa na pikipiki alipokuwa akivuka barabara kuu ya Morogoro-lringa eneo la Mriti.
Ally akiwa katikati ya barabara ya Morogro-lringa baada ya Kutokea ajali kugongwa na pikipiki
Askari wa kikosi cha Usalama barabara wakiwasili eneo la tukio Tayari kutoa msaada.
Habari zilizopatikana eneo la tukio zinadai baada ya dereva huyo wa pikipiki kumgonga alikimbia na kumuacha majeruhi huyo akigaaga kwenye barabara hiyo ambapo baadhi ya wananchi walifika eneo la tukio na kumsogeza pembeni asiendele kugongwa na magari mengine
Ally akiangua kilio baada ya kupatwa na maumivu makali
Akiingizwa kwenye gari kuelekea hospital ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro
" alikuwa akivuka barabra kureje nyumbani kwake Chamwino kwa bahati mbaya kuna boda boda litoka upande wa Msamvu na kumgonga hata hivyo boda boda hiyo baada ya kumgonga alikimbia Picha na Dustan Shekidele,Morogoro
"Ukiwa na tukio lolote tutumie kwa email yetu,
elihurumachao@gmail.com
Habari zenye picha zitazingatiwa zaidi
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: