Baadhi ya mashuhuda waliokuwepo eneo hilo walidai chanzo cha moto huo kilionekana kutokea kwenye nguzo ya umeme iliyokuwa maeneo hayo ambapo inasemekana ndio sababu kubwa ya moto huo.
| Wakazi wa mkoa wa dodoma wakijaribu kuokoa vitu vilivyokuwa ndani ya vibanda |
| Wamiliki wa vibanda hivyo wakishuhudia vitu vikiungua na moto |
| Gari la kuzima moto likiwasili eneo la tukio |
| Picha zote na Josephine Kayagwa |
0 comments: