NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Wednesday, March 26, 2014
Liberia yakumbwa na ebola, watano wafariki dunia
at 2:27:00 AM | 
No comments
Liberia
imeripoti kesi 11 za watu wanaoshukiwa kuambukizwa ugonjwa wa Ebola huku wengine watano wakifariki dunia kufuatia kuenea kwa maambukizo hayo katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika. Idara ya Afya ya Liberia imeeleza kuwa kesi hizo ziligunduliwa katika wilaya za Zorzor, Lofa na Foya huko karibu na mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Guinea.
Bernice
Dahn, Afisa Mkuu wa Tiba katika kitengo cha Afya cha Liberia amesema kuwa ugonjwa wa ebola hivi sasa unaenea katika eneo la mpaka na Guinea khususan katika maeneo na miji iliyoko karibu na miji ya Guinea ya Gueckedou, Nzerekore, Kissidougou na Macenta.
Hii ni katika hali ambayo timu ya uchunguzi tayari imeanza kuchunguza maambukizo hayo ya ebola kama kukusanya sampuli za damu na kuwatafuta watu walioambukizwa.
Wakati huohuo Peter Clement, Mshauri wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Lberia amesema kuwa shirika hilo lipo katika mchakato wa kuthibitisha washukiwa wa maambukizo hayo ya ebola ili kuweza kujua namna ya kukabiliana nayo.
Share
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: