NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Wednesday, March 26, 2014
TAARIFA KAMILI ZA KIFO CHA MKUU WA MKOA WA MARA JOHN TUPPA
at 2:33:00 AM | 
No comments
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara John Tupa enzi za uhai wake
Mapema leo zilipatikana taarifa za kuanguka kwa mkuu wa mkoa wa
Mara John
Tuppa katika ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Tarime John Henjewele alipokuwa katika ziara ya kikazi wilayani humo.
Taarifa za awali zilizosambazwa katika vyombo vya habari vilisema kuwa Mkuu huyo wa mkoa alianguka ghafla na kuanza kutoka povu mdomoni na baadaye alikimbizwa katika hospitali ya wilaya kwa ajili ya matibabu.
Lakini taarifa zilizotujia baadaye zilielezwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa amefariki dunia majira
ya
saa 5 asubuhi katika Hospitali ya wilaya ya Tarime, baada ya kuanguka ghafla na kutokwa na povu wakati akitoka nje ya ofisi ya Mkuu wa Wilaya (DC) Tarime.
Baada ya tukio hilo, Mkuu wa Mkoa huyo alikimbizwa hospitalini na akafariki dunia muda mfupi wakati timu ya madaktari wa hospitali hiyo ikijiendelea na harakati za kunusuru maisha yake.
Mmoja wa watu waliokuwa jirani na kiongozi huyo, Mkuu wa Wilaya ya Kilolo,
Gerald
Guninita alisema “nina mfahamu marehemu na naweza kusema alikuwa ni mwalimu wangu bingwa wakati nikiwa Dodoma.”
Huku akitokwa na machozi kwa mbali, Guninita alisema ameguswa na kifo cha kiongozi huyo aliyekuwa akitegemewa na
familia
yake na maendeleo ya Taifa.
Mungu ametoa, Mungu ametwa, jinala Mungu lihimidiwe
Share
HABARI
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: