NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Friday, March 11, 2016
DUKA LA KAMERA LA KAMPUNI YA JUMBO LAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM
at 8:41:00 AM | 
No comments
Meneja mauzo kampuni ya Jumbo Camera House Ltd, Mathias Luoga akizungumza na wadau mbalimbali wa Kamera pamoja na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa duka la
kampuni ya Jumbo Camera House Ltd linalouza kamera za picha za mnato, picha za mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali vya kamera, duka lililopo jengo la Benjamini Mkapa Tower Posta jijini Dar es Salaam.
Muonekano wa duka la
kampuni ya Jumbo Camera House Ltd linalouza
linalouza kamera za picha za mnato, picha za mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali vya kamera.
Mkurugenzi Mtendaji, Paul Buckendahl akizungumza wakati wa uzinduzi wa duka la
kampuni ya Jumbo Camera House Ltd
linalouza kamera za picha za mnato, picha za mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali vya kamera duka lililopo katika jengo la Benjamini Mkapa Tower Posta jijini Dar es Salaam.Kushoto ni
Meneja mauzo kampuni ya Jumbo Camera House Ltd, Mathias Luoga.
Mkurugenzi Mkuu wa
kampuni ya Jumbo Camera House Ltd, Sara Filikunjombe(wa kwanza kulia)
akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali leo katika uzinduzi wa Duka la Kamera katika jengo la Benjamin Mkapa Tower jijini Dar es Salaam leo.
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: