NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Tuesday, March 25, 2014
Zikiwa zimebaki siku 7 tu za kuripoti shuleni asilimia 40 ya wanafunzi wa kidato cha kwanza hawajawasili shuleni mkoani iringa
at 12:23:00 AM | 
No comments
Mandhari ya mji wa IRINGA
Zikiwa zimebaki siku saba kukamilika kwa usaili wa wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza kwa mwaka 2014 ni asilimia 64 pekee ya wanafunzi ndiyo walioripoti
shuleni.
Akizungumza ofisini kwake
afisa elimu mkoa wa iringa
BW,JOSEPH MNYIKAMBA
amesema kuwa idadi ya watoto waliofaulu ni 14956,wavulana wakiwa ni 7042 na wasichana ni 7914, mpaka sasa wanafunzi walioripoti katika shule walizopangiwa ni 1060.
Aidha amewataka wazazi na walezi kuwapeleka watoto wao shule kwa wakati waliopangiwa na iwapo hawatofanya hivyo watoe sababu za msingi za kutotekeleza agizo hilo.
Hata hivyo BW.MNYIKAMBA amewaomba wazazi,walezi na wadau wa elimu kusaidiana na serikalikatika kutekeleza wajibu wa kuhakikisha kila mtoto anapata elimu ya kiwango nakwa wakati.
Share
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: