NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Thursday, January 28, 2016
Vijana wawili wahusishwa na Uchomaji wa Hotel ya Mtoto wa Amani Karume-Tazama hii
at 12:30:00 AM | 
No comments
Moto mkubwa umeteketeza hoteli ya kitalii ya Konokono Beach Resort iliyoko Michamvi mkoa wa kusini Unguja, inayomilikiwa na mtoto wa rais wa zamani wa Zanzibar, Amina Karume pamoja na wawekezaji wawili kutoka nje ya nchi.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kusini Unguja, Juma Saadi amesema kuwa moto huo uliteketeza nyumba tatu na mgahawa mmoja katika hoteli hiyo, ni watu wawili waliokuwa wakichoma nyasi karibu na hotel hiyo. Aliwataja vijana hao kuwa ni Meshak Amos Elisha na Mohamed Abdallah Hassan.
Kamanda Saadi aliwataka wananchi kupuuza habari zilizoenea zinazohusisha tukio hilo na mambo ya kisiasa, husasan vyombo vya habari vya kimataifa vilivyoripoti habari hiyo.
“Wakati wa kuchoma moto ndani ya uzio huo, ulizuka upepo mkali majira ya saa tano na nusu na kusababisha nyumba moja ya makuti katika hoteli ile kushika moto na kusababisha hasara hiyo,”
kamanda Saadi alifafanua.
Kikosi cha zima moto na uokoaji kilifika katika eneo hilo na kufanya kazi za kuzima moto huo.
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: