NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Monday, November 2, 2015
ARUSHA MEDIA NA SHAHANGA PROMOTION WAANDAA TAMASHA LA UTALII NA AMANI JIJINI ARUSHA Nov.22
at 4:20:00 AM | 
No comments
mkurugenzi wa kampuni ya Arusha Media ambaye ni mmojawapo wa waandaaji wa tamasha hili Musa Juma katikati akiwa anaongea na waandishi wa habari kuhusiana na tamasha hilo
Akizungumzia tamasha hilo na kutaja michezo itakayokuwepo , Mkurugenzi wa Alfredo Shahanga Sports Promotion ,Alfredo Shahanga katikati
baadhi ya waandishi wa habari wakifatilia mkutano huo
Mratibu wa Tamasha hilo, Andrea Ngobole katikati akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari awapo pichani
Tamasha la Utalii na amani, Arusha tourism Festival linatarajiwa kufanyika Novemba 22 katika jiji la Arusha.
Akizungumza na waandishi wa habari Golden Rose hotel , Mratibu wa Tamasha hilo, Andrea Ngobole alisema, tamasha hilo limeandaliwa na taasisi ya Arusha Media na Alfredo Shahanga Sports Promotion.
Alisema katika tamasha hilo, kutakuwa na michezo mbali mbali, ikiwepo soka, mashindano ya riadha ya Tourism Marathon, maonesho ya utalii na kongamano la utalii na amani.
"kauli mbiu ya tamasha hili ni Utalii wa ndani na amani sasa tunatoa wito kwa wadau mbali mbali kujitokeza kushiriki"alisema
Akizungumzia tamasha hilo, Mkurugenzi Alfredo Shahanga alisema, maandalizi yote muhimu yamekamilika.
Hata hivyo, Shahanga alitoa wito kwa wadhamini zaidi kujitokeza kudhamini ili kuhakikisha wakazi wa Arusha wanashiriki kuhamasisha utalii wa ndani na kuhubiri amani.
Naye mkurugenzi wa kampuni ya Arusha media ambaye pia ni mmoja wapo wa waandaaji wa tamasha hilo alitaja michezo ambayo itakuwepo ni pamoja na kukimbiza kuku,kuruka kamba,kukimbia na magunia ,riadha ambapo alisema kuwa kutakuwa na mbio za kilometa tano,half marathoni pamoja na full marathoni ambapo alieleza kuwa mbio za full marathoni zenyewe zitafanyika siku december 13.
Share
BURUDANI
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: