Sunday, September 7, 2014
HII NDIO SARAFU MPYA YA SH.500 AMBAYO IMETOLEWA NA BENKI KUU YA TANZANIA...Bofya hapaaaa...
at 12:54:00 PM |  No comments
Share
MATUKIOPosted by Unknown
-
IDARA YA UHAMIAJI YAFANYA MABADILIKO KWA WAFANYAKAZI 200 KATIKA VITUO VYA KAZI.
-
LAFARGE TANZANIA YATOA SARUJI MIFUKO ZAIDI YA 1,000 KUJENGA UPYA MABWENI SEKONDARI YA IYUNGA.
-
MWIGULU NCHEMBA AANZA SAFARI YA KUHAKIKISHA WAFUGAJI WANAACHA KUFUGA KIHOLELA,WAFUGE KWA VITALU.
-
WANANCHI WAMUAHIDI PROFESSOR JAY USHINDI WA KISHINDO MIKUMI..Tazama hii...
-
WANANCHI WENYE HASIRA KALI WAMPIGA NA KISHA KUMCHOMA MOTO KIJANA MMOJA KWA TUHUMA ZA WIZI..Bofya hapa...
Mkurugenzi
Huduma za Kibenki kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Emmanuel
Boaz(wa kwanza kulia) akiwaeleza waandishi wa habari(Hawapo
Mkurugenzi
Huduma za Kibenki kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Emmanuel Boaz
(kulia) na Mshauri wa Fedha kutoka ofisi hiyo Bw. Hassan Jarufu
wakiwaonesha waandishi wa Habari(Hawapo Pichani) Toleo jipya la sarafu
ya Shilingi 500 inayotarajiwa kuingizwa kwenye mzunguko kuanzia mwezi
Oktoba 2014.
0 comments: