NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Wednesday, August 27, 2014
WATU 120 WANUSURIKA KIFO BAADA YA BASI LA HOOD KUPINDUKA ARUMERU ARUSHA..Ilikuaje??Pata habari hapa
at 12:35:00 AM | 
No comments
Watu mia moja na ishirini wamenusurika kifo na wengine kujeruhiwa katika eneo la Kikatiti wilayani Arumeeru baada ya mabasi ya Hood lililokuwa linatoka
Arusha
kwenda Iringa kugongana na basi la Isamilo lililokuwa linatoka
Moshi
kuelekea mkoani Mwanza.
Wakizungumza baada ya kutokea ajali hiyo baadhi ya mashuda na abiria waliyokuwemo katika ajali hiyo wamesema dereva wa basi la Hood alikuwa katika saiti yake lakini ghafla lilitokea basi la Isamilo lililokuwa linalipita roli la mizigo kwenye kona kali pamoja na daraja ndipo likashinda na kuingia upande wa pili.
Raia
wakishuhudia
ajali ya basi la Hood ilivyotokea.
Kwa upande wake dereva wa basi la Hoodi ambaye pia ameumia mkono katika ajali hiyo amesema basi alililogongana nalo likuwa kwenye mwendo kasi ambao ulimshinda dereva kulimudu
gari
hilo huku alitoa wito kwa madereva wengine kuwa makini wanapo kuwa bara barani .
Akizungumza kwa njia ya simu kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lebaratus Sabas amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: