NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Wednesday, August 27, 2014
Hii ni mpya..KIGOGO ADAIWA KUMTOROSHA MTOTO,NA AMLAWITI..Kwa habari zaidi Bofya hapa.........
at 2:29:00 AM | 
No comments
Mtoto Rose (kushoto) aliyelawitiwa, na mwenzake
Diana
aliyetoroshwa na kigogo mmoja aliyetajwa kwa jina la Moses.
INASIKITISHA
sana! Wakati watetezi wa haki za binadamu wakizidi kupiga vita matukio ya unyanyasaji wa watoto na wanawake, kigogo mmoja aliyetajwa kwa jina la Moses anadaiwa kumlawiti mtoto, Rose (16) na kumtorosha
mwingine
aitwaye Diana (12) ambaye ni denti wa darasa la nne.
Kigogo huyo anayesemekana kuwa ni mfanyakazi wa taasisi
moja
ya serikali iliyopo jijini Dar (jina tunalihifadhi) alidaiwa kumfanyia kitendo hicho mtoto huyo ndani ya shamba
lake
.
Tukio hilo lilitokea Agosti 20, mwaka huu maeneo ya Zogowale, Kibaha Pwani ambapo wachunga ng’ombe waliwaona watoto hao wakiwa katika banda peke yao.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti hivi karibuni, walisema walitolewa mkoani Lindi kwa ajili ya kufanya kazi za ndani huku Diana akianika kwamba huyo Moses alimlaghai kuwa angemnunulia nguo jambo ambalo hakulifanya.
“Mimi nilichukuliwa mwaka jana na kupelekwa Dar kwa ajili ya kufanya kazi za ndani, baadaye Moses alinitoa na kunihamishia hapa shambani kwake bila kufanya mawasiliano na wazazi wangu kwani sikuwaaga wakati nakuja,” alisema Rose.Akaongeza: “Nilishindwa kuwaambia wazazi wangu kwa sababu alininyang’anya simu halafu akaanza kunilawiti.”
Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Jonunga, Mbegu Twaha alisema taarifa za watoto hao alizipokea kutoka kwa wachunga ng’ombe hao hivyo akaamua kwenda kwenye shamba hilo na kuwakuta bandani.
Alisema baada ya kufanya mahojiano na watoto hao alibaini kuwa, Rose alikuwa akilawitiwa na bosi wake, ndipo akaamua kwenda kutoa taarifa katika Kituo cha Polisi Mlandizi kwa ajili ya fomu ya matibabu (PF3) ambayo ilionesha kuwa
kweli
binti huyo alikuwa akiingiliwa.
kwa ushirikiano na viongozi wengine wa kijiji walifanikisha kuweka mtego kumnasa mtuhumiwa huyo na kufikishwa polisi ambako alifunguliwa jalada la kesi lenye Kumbukumbu Na. MLA/IR/1066/2014 KULAWITI.
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: