NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Friday, June 27, 2014
Cheki hapa....KIJANA HUYU AMEUAWA KIKATILI NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI WAKIDA AMEIBA TV NA SOLA..Kumradhi kwa picha hizi...
at 2:50:00 AM | 
No comments
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 28-30 ambaye hajafahamika jina lake wala
makazi ameuawa na wananchi wanaodaiwa kuwa na hasira kwa tuhuma za wizi katika mtaa wa Muhongolo wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Tukio hilo limetokea leo majira ya saa tatu asubuhi baada ya kudaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alikutwa ndani kwenye nyumba ya jirani ambayo hata hivyo haijatajwa, ambapo alijifungia ndani kabla ya wananchi kuvunja mlango na kumtoa
Imedaiwa kuwa Kijana huyo amewawa akituhumiwa kuhusika na wizi wa TV na Solar katika maeneo ya mtaa huo, na kwamba amekuwa akifanya uhalifu mara kwa mara lakini amekuwa akiendelea kuonekana mtaani hata baada ya kukamatwa na polisi.
Jeshi la Polisi wilaya ya Kahama limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba Mwili wa Marehemu umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya Wilaya ya Kahama, huku upelelezi ukiendelea.
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: