Kijana
mmoja muda huu ambaye alitambulika kwa jina moja la Ridhiwani amekutwa
Bila aibu Akimlawiti mtoto wa miaka 12 maeneo ya PPF Njiro.
Tukio zaidi tazama hapa chini
Ridhiwani aliyembaka Mtoto wa Miaka 12 muda mchache uliopita

Huyu ndiye dogo ambaye amelawitiwa ana umri wa Miaka 12.


Ridhiwani akiwa Chini ya ulinzi baada ya kukamatwa akiwa anamlawiti kijana wa Miaka 12

Mashuhuda wakiwa wanamshangaa kijana huyo aliyebaka

Wananchi wenye Hasira kali wakiwa wanataka kuanza kumtandika kijana huyo...
Mpaka sasa kijana huyo yupo eneo alililo kamatwa Njiro karibu na PPF.
0 comments: