NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Thursday, May 29, 2014
MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA!!
at 10:19:00 AM | 
No comments
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akifungua rasmi mkutano wa wadau wa uhamasishaji wa ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi
PPP
- ("Public and Private Partnership") katika Sekta ya Afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa. Katika hotuba yake ya ufunguzi amesema ili kufikia lengo kuu la millennia ifikapo mwaka 2015 la kupunguza vifo vya watoto, akina mama wajawazito na kuweza kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza pamoja na kuboresha mazingira na kupata maji salama Serikali peke yake haitaweza bila kushirikiana na Sekta Binafsi ambayo pia imekua na mchango mkubwa katika kujenga afya za watanzani.
Ndugu Paul Michael Nadrie muwezeshaji wa ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi
PPP
- (Public and Private Partnership) katika Sekta ya Afya kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii akiwasilisha moja ya mada katika Mkutano huo. Alieleza kuwa zipo faida nyingi za
PPP
ikiwemo kuongeza na kusogeza huduma za afya kwa wananchi pamoja na kuongeza ushindani katika kutoa huduma za afya nchini. Akigusia changamoto amesema zipo changamoto nyingi ikiwemo uelewa hafifu wa PPP kwa watekelezaji na jamii kwa ujumla, uwazi katika utekelezaji wa PPP (Public and Private Partnership), upatikanaji wa mikopo ya mda mrefu, uwezo hafifu wa kufanya upembuzi yakinifu na uwezo hafifu wa kiuchumi katika kushiriki kwenye miradi ya
PPP
(Public and Private Partnership).
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt. John Gurisha akitambulisha wajumbe katika kikao hicho kutoka Sekta Binafsi na Sekta ya Umma. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu SmythiesPangisa.
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: