Ni
katika Hotuba yake ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ya Wizara ya
Habari,Utamaduni na Michezo aliyoiwasilisha Bungeni leo hii muda mfupi
uliopita. Waziri Kivuli Joseph Osmundi Mbilinyi aka Sugu amemtaja Zitto
Z. Kabwe kama Mmiliki wa Kampuni ya Leka Dutigite aliyofanya biashara
isivyo halali na Mashirika ya Umma ya NSSF na TANAPA.
Thursday, May 29, 2014
HOTUBA YA SUGU ILIYOMLIPUA ZITTO HII HAPA..Pitia ujionee.....
at 11:58:00 AM |  No comments
Share
MATUKIOPosted by Unknown
0 comments: