NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Wednesday, May 21, 2014
AJALI MBAYA NA YA KUTISHA YATOKEA MWANZA MAENEO YA MATAA... SAMAHANI KWA PICHA ZINATISHA SANA
at 3:47:00 AM | 
No comments
Mabaki ya Mguu ya Muendesha Bodaboda wa Mkoani Mwanza Akiwa amegongwa la Lori. Ajali Hii ni mbaya sana.Ajali Hiyo imetokea mara baada ya Muendesha Pikioiki Huyo Kuendesha Bila Kufuata Sheria za Usalama barabarani na Ndipo Lori Hilo Lilompitia na Kumjeruhi Vibaya.
Picha na The Best blog
H
wanaotumia bodaboda wawe makini na madereva wanaowabeba,pia muwe mnawapa mashariti na juu ya speed wanazoenda nazo,kwa mfano unakuta bodaboda kakaa kijiweni hana hili wala lile,ukimchukua tu mara anaanza kukimbiza pikipiki mi huwa nawauliza unawahi wapi na wakati nimekukuta umekaa kijiweni
Watanzania wenzangu tueni makini na hivi vyombo vya usafiri maana huyu aliepata hii ajali hana tofauti kati ya mimi na wewe.Ni hayo tu nawatakia siku njema na kazi njema katika kulijenga taifa letu.
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: