Idris akionekana ni mwenye furaha kubwa sana baada ya kuwasili nchini.
Mama Mzazi wa Idris Sultan akijiandaa kumpokea mwanae.
Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa 2014,Idris Sultan
akishangilia wakati alilakiwa na Washabiki wake waliojitokeza kwa wingi
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere,Jijini Dar es
salaam leo akitokea nchini Afrika Kusini yalikokuwa yakifanyika
mashindano hayo.Kushoto kwake ni Laveda aliekuwa mshiriki mweza wa
Idris.
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi
(kati) akijadiliana jambo na Mshindi wa Big Brother Africa 2014,Idris
Sultan pamoja na aliekuwa mshiriki wa shindano hilo,Laveda katika uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa Big Brother Africa 2014,Idris Sultan akiongea na waandishi wa habari.
Wednesday, December 10, 2014
MAMIA YA WKAAZI WA DAR WAJITOKEZA KUMLAKI MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA..Tazama hii
at 11:50:00 PM |  No comments
Share
MATUKIOPosted by Unknown
-
Hivi kweli Rais Wetu Huguswi na Wabunge wa Upinzani Kutoka Bungeni?
-
DIAMOND PLATNUMZ, SAUTI SOL AND PATORANKING ROCKS VUZU AMP 1st ANNIVERSARY #ONLY THEBEST
-
Ajali Mbaya..MKE WA MMILIKI WA HOTELI YA AQ JIJINI ARUSHA AFARIKI DUNIA PAPOHAPO BAADA YA KUPATA AJALI MBAYA YA GARI..Kumradhi kwa Picha
-
Diamond Platnumz Huwa Hali Chakula Anachopika House Girl Wake..Kisa? Harmonize Afunguka Hapa
-
KAMPUNI YA KANJI LALJI YATOZWA FAINI
0 comments: