Sunday, April 27, 2014
MAZOEZI NA VIFAA VYA KIJESHI VYATAWALA MAADHIMISHO YA UHURU.....Tazama hapaaaaaaaa!!!!!!!!!
at 5:49:00 AM |  No comments
Watanzania wengi wamejitokeza katika maadhimisho hayo wakiwemo marais wa nchi mbalimbali za Afrika, Viongozi mbalimbali na wawakilishi wa nchi katika mataifa mbalimbali ya Afrika, Nchi za kiarabuni, Asia na Ulaya, Fullshangwe ilikuwepo kwenye eneo la tukio na kukuletea moja kwa moja matukio mbalimbali yaliyojitokeza katika maadhimisho hayo ambayo yamefana kwa kiwango kikubwa.
Share
MATUKIOPosted by Unknown
0 comments: