![]() |
| RAISI Kikwete akiwa katika gari la wazi akizunguka uwanjani kuwasalimia watanzania waliojitokeza kusherehekea miaka 50 ya MUUNGANO wa Tanzania |
![]() |
| wakiwapigia makofi makomandoo wa JWTZ walioonsha ukakamavu wa hali ya juu |
![]() |
| sehemu ya umati wa watu waliohudhuria uwanjani hapo wakiimbna wimbo wa TAIFA |
![]() |
| moja ya burudani iliyowakonga nyoyo watazamajio uwanjani hapo ni maaskari walioshuka kutoka kwenye ndege kwa kutumia parachuti kamaanavyoonekana pichani hapo juu |
![]() |
![]() |
| makomandoo waliokonga nyoyo za wakazi wengi waliojitokeza kiwanjani hapo |
![]() |
| sweepers wakitoa heshima kwa bendera ya TAIFA |
![]() |
| PICHA YA KIFARU |









0 comments: