Pichani ni wajumbe wa bunge la katiba wanaojulikana kwa jina la UKAWA wakitoka katika
kikao cha bunge na kuisusia ccm na serkikali kwa madai kwamba maoni ya
awananchi hayaheshimiwi na serikali ilikiyopo madarakani na kusema kuwa
hawapo tayari kushiriki katka mchakato ambao rasimu ya maoni ya wananchi iliyowasilishwa na
jaji WARIOBA ikakataliwa na viongozi wengi wa serikali na wajumbe
wanaotoka chama cha mapinduzi
Akiongea kwa uchungu kiongzi wa kundi hilo na mjumbe wa bunge hilo Prof.Ibrahim Lipumba amewashutumu viongozi wa bunge hilo kwa kuendeleza ubaguzi ndani ya bunge hilo na kwamba kuna upendeleo kwa chama cha mapinduzi CCM. Hata hivyo kiongozi huy wa UKAWA amesikika akimshutumu mh LUKUVI kuwa anatumia
nafasi yake kama waziri kuwatisha wananchi wanaoamini muundo wa serikali
tatu.
Mwenyekiti wa Bunge mh.Samwel Sita amemuomba waziri huyo aje atoe ufafanuzi wa kauli yake hiyo iliyoonekana kuwakera UKAWA na kuwasababishia kususa kikao hicho...
Thursday, April 17, 2014
UKAWA WAZIDI KUIPA SERIKALI WAKATI MGUMU
at 4:04:00 AM |  No comments
Share
HABARIPosted by Unknown
-
YALIYOJIRI KATIKA BUNGENI MJINI DODOMA
-
KWENYE MECHI YA SIMBA NA YANGA KUNA VITUKO...Hivi ndivyo ilivyokuwa Bofya hapa ujioneeeee
-
NHC yaendesha jukwaa la Uwekezaji katika Sekta ya Nyumba kwa wadau wake.Bofya hapa..
-
TBL YAJENGA KISIMA KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MAKUBURI..Bofya hapa..
-
SERIKALI YAMTEUA MKUU WA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA)
0 comments: