NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Thursday, April 17, 2014
ILI KUIMARISHA ULINZI BUTIAMA MAKACHERO WAONGEZWA...Soma hii....
at 4:17:00 AM | 
No comments
Jeshi la Polisi nchini, limesema kuwa limeimarisha ulinzi kwa kuweka kituo chenye Askari na vifaa vya kufanya kazi katika kata ya Mgambo wilayani Butiama, katika mkoa wa Mara kufuatia mauaji ya wanawake yaliyotokea katika wilaya hiyo.
Aidha Jeshi hilo limepeleka makachero wa kutosha wilayani humo, ili kusaidia upatikanaji wa taarifa za uhalifu na kuendelea kuwakamata wahalifu ili waweze kufikishwa katika vyombo vya sheria.
Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai nchini
(DCI)
,
Issaya Mungulu, akiwa katika ziara ya kupata taarifa sahihi za mauaji ya wanawake, yanayotishia maisha ya wananchi katika mkoa huo amesema wamejizatiti katika eneo hilo, ambapo amewahakikishia wananchi kuwepo kwa usalama wakati wakiendelea na upelelezi.
DCI Mungulu, amesema, Jeshi la Polisi litaendelea kukamata wahatuhumiwa na wauaji, kwa kuongeza idadi ya Askari na kuimarisha hali ya upelelezi kwenye oparesheni hiyo ‘oparesheni maalum’ ya wilaya hiyo.
Amewataka wananchi kuendelea na shughuli za uchumi, kikiwemo kilimo kwa kushirikiana na watu mbalimbali, kuliko mtu ‘mmoja’ hali inayohatarisha usalama wa maisha ya wanawake wilayani humo.
Katika kipindicha januari hadi sasa wanawake tisa (9) wameuwawa, katika kata zaVugango,Itaro Nyakatale, na Vejina huku watuhumiwa wengine (22) wakiwa wametiwambaroni wakihusishwa na matukio ya mauaji ya kuua wanawake na kuwanyongawanapokuwa katika shughuli za kijamii.
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: