at 1:05:00 PM | 
Wataalam
kutoka Wakala wa Uchimbaji wa Visima na Mabwawa (DDCA) wakiendelea kuchimba
kisima chenye urefu wa mita 130 katika shule ya Msingi Mbagala majimatitu,
Temeke jijini Dar es salaam.
Msimamiziwa mradi wa uchimbaji wa visima vya maji katika Shule ya Msingi Mbagala
majimatitu kutoka DAWASA Muhandisi Abel Chibelela na Mhandisi Elizabeth Kingu, Katibu
Tawala Msaidizi Huduma za Maji (kushoto) wakiangalia maendeleo ya moja ya
kisima kinavyochimbwa na Wakala wa Uchimbaji wa Visima na Mabwawa (DDCA) katika
shule hiyo kwa gharama ya shilingi milioni 24.5
Share
0 comments: