Ni Toyota Lexus New Model ambapo Babu Tale amesema imegaharimi milioni 38.1 ambapomilioni
35 imetumika kulinunulia gari hilo mpaka kuingia Tanzania na Milion 3.1
imetumika kulipamba na kuweka Music System pamoja na seat Cover.
Tuesday, July 8, 2014
NANI KAMA MAMA TAZAMA HII...DIAMOND AMZAWADIA MAMA YAKE GARI LA MILIONI 38..Bofya hapa.
at 12:21:00 AM |  No comments
Share
BURUDANIPosted by Unknown
0 comments: