NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Tuesday, July 15, 2014
AJALI MBAYA YA MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI YAPOTEZA MAISHA YA WATU WAWILI...Tazama hapa
at 1:37:00 AM | 
No comments
Gari aina ya Range Rover lenye likiwa limeharibika vibaya baada a kugongana uso kwa uso na gari dogo
Gari dogo aina ya Toyota Corolla lilikiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na Range Rover katika makutano ya barabara ya Arusha/Moshi jirani kabisa na kipita shoto(Keep left) cha Arusha
Mifuko maalumu ya kuzuia abiria asiumie wakati wa ajali ikiwa imefumuka baada ya ajali .
Pikipiki ikiwa chini ya gari aina ya Range Rover baada ya kugongwa.
Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wakitizama pikipiki iliyokuwa chini ya gari hiyo
Hivi ndivyo pikipiki inavyoonekana ikiwa chini gari.
Askari polisi wa kikosi cha usalama barabarani wakichukua vipimo mara baada ya kutokea kwa ajali hiyo ambayo watu wawili wanadaiwa kufariki dunia papo hapo huku wengine watatu wakijeruhiwa vibaya akiwemo dereva bodaboda aliyevunjika miguu.
Baadhi ya wanannchi wakitizama ajali iliyotokea katika makutano ya barabara kuu ya Moshi/Arusha na ile ya kuelekea ofisi za mkuuu wa wilaya ya Moshi.Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
YALIYOJIRI KATIKA BUNGENI MJINI DODOMA
KWENYE MECHI YA SIMBA NA YANGA KUNA VITUKO...Hivi ndivyo ilivyokuwa Bofya hapa ujioneeeee
NHC yaendesha jukwaa la Uwekezaji katika Sekta ya Nyumba kwa wadau wake.Bofya hapa..
TBL YAJENGA KISIMA KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MAKUBURI..Bofya hapa..
SERIKALI YAMTEUA MKUU WA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA)
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: