NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Wednesday, June 25, 2014
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI Mch.DEBORA JOHN SAIDI AZIKWA NA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI...Habari katika picha...
at 2:28:00 AM | 
No comments
Jeneza likishushwa kaburini.
Waimbaji wakiwa wamebeba jeneza la mwimbaji mwenzao Deborah John Said.
Kaburi la Deborah.
Watoto wa marehemu wakiweka shada kaburini.
Picha ya marehemu.
Nyumbani kwa marehemu.
Baadhi ya ndugu na jamaa wakilia na kuomboleza.
Familia ya marehemu Deborah Said wakiwa na majonzi.
Bango la kanisa alilokuwa akiongoza Mchungaji Deborah Said na mumewe Askofu John
Said.
Mmoja wa waombolezaji, Cosmas Chidumule, akiimba kanisani.
Jeneza likiwa kanisani kwa ajili ya ibada.
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Nchi ya Ahadi, Harris Kapiga, akiwa kanisani kwa ajili ya msiba huo.
Rafiki mkubwa wa marehemu, Mama Wilbroad Slaa (kushoto) akilia kwa uchungu. Kulia ni mume wa marehemu.
Baadhi ya waimbaji na wasanii wakisalimiana.
Mwimbaji Upendo Nkone akishiriki ibada ya mwimbaji mwenzake.
Mtoto wa marehemu akiwa kazimia.
Binti pekee wa marehemu akiwa kapumzika baada ya kuzimia.
Umati wa watu ulifurika makaburini.
MWIMBAJI wa Injili, Deborah John Said, aliyefariki Juni 19 mwaka huu kwa tatizo la kansa, alizikwa jana, Juni 23, kwenye makaburi ya Makuburi-Jeshini jijini Dar es Salaam ambapo waombolezaji wengi walihudhuria mazishi hayo.Marehemu ameacha mume na watoto wanne.
Share
HABARI ZA INJILI
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: