| Wasichana wakiwa na mabango kudai kurudishwa kwa wasichana zaidi ya 200 waliotekwa na Boko Haram |
| maandamano yakielekea viwanja vya Jinsia TGNP mabibo kwaajili ya kusomwa kwa tamko la kuda wasichana warudishwe kuendelea na shule |
| pamoja na wasichana wa sekondari pia walikuwepo wanaharakati mbalimbali wa haki za wanawake na watoto |
| Bring our girls home, ndio ulikuwa wimbo wa maandamano |
| waandamanji wanapokelewa na Wakurugenzi wa mashirika yaliyoandaa maandamano hayo |
| waandamanaji wakionesha mabango mbalimbali wakati wakipokelewa |
| Wakurugenzi wa mashirika hayo wakipokea maandamano tayari |
| washiriki walivyokuwa |
| wanafunzi wakihakikisha mabango yao yanasomwa na kila mmoja aliyekuwepo |
| we want our girls back |
0 comments: