Tuesday, May 20, 2014
MBATIA AAHIDI KUTOA MILIONI 10 KWA PROFESA ATAKAYEPATA MASWALI YOTE YA MTIHANI WA DARASA LA SABA MWAKA JANA
at 4:55:00 AM |  No comments
Amependekeza kuwa ili kupata tiba, bunge limuombe rais Jakaya Kikwete kuunda tume ya kudumu ya elimu nchini ambayo itakayokuwa inahakikisha ubora wa elimu na kudhibiti mambo yanayosababisha kutetereka kwa elimu nchini na amependekeza iitwe ‘Education quality assurance and control’.
Share
MATUKIOPosted by Unknown
0 comments: