NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Wednesday, April 9, 2014
MAMBO YA KARUME DAY HAYA HAPA:RAIS JAKAYA KIKWETE, MAKAMU WAKE DKT. BILAL WALIPOSHIRIKI DUA MAALUM YA KUMBUKUMBU YA KARUME MJINI ZANZIBAR
at 3:33:00 AM | 
No comments
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kushoto, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein wa pili, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Kaimu Mufti wa Zanzibar, wakiwa pamoja na wananchi wa Zanzibar katika Dua ya ya kukumbuka kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika jana Aprili 07, 2014 Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kushoto), Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein (wa tatu kutoka kushoto), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Kaimu Mufti wa Zanzibar, wakiwa pamoja na wananchi wa Zanzibar katika Dua ya ya kukumbuka kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika jana Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi na Wananchi wa Zanzibar, wakijumuika pamoja kwenye Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika jana katika Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
Wake wa Viongozi wakiwa katika Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika jana April 07-2014 Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kushoto, akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Viongozi mbalimbali nje ya Jengo la Ofisi ya CCM Kiswandui mara baada ya kumalizika Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika jana Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
Wake wa Viongozi waliohudhuria dua hiyo maalum.
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: