NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Wednesday, April 30, 2014
KONGAMANO LA MAOMBI RADIO SAFINA LAKUSANYA MAMIA YA WATU KISONGO ARUSHA
at 1:22:00 AM | 
No comments
Hili ni kongamano la maombi lililofanyika jumamos uwanja wa magereza kisongo.lililoandaliwa na kituo cha Radio Safina Arusha.
Kituo cha radio ya Injili kilichopo jijini Arusha Tanzania nikiwa na maana kwamba Radio safina kimefanya kongamano kubwa maeneo ya uwanja wa magereza uliopo kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha.
Wakiongea na Blog ya NiceMediaWorkstz waandaaji wa kongamano hilo wamesema kuwa kongamano hilo lilikuwa maalum kwaajili ya kuzungumzia ni kwa namna gani Familia na Ndoa nyingi zinavyovunjika kwenye familia nyingi ambapo chanzo huwa ni JINI MAHABA.
Share
HABARI ZA INJILI
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: