NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Monday, April 14, 2014
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA SEMINA YA BUNGE MAALUM MJINI DODOMA. Tazama hapa
at 4:52:00 AM | 
No comments
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ummy Mwalimu(kushoto), Mchungaji Peter Msigwa(wa pili kushoto) , Vincent Nyerere( wa pili kulia ) na Shamsa Mwangunga(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya semina kuhusu Katiba mpya na Serikali za mitaa.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mustapha Akunaay akichangia maoni yake leo mjini Dodoma katika mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Siti Abbas Ali akichangia maoni yake leo mjini Dodoma katika mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Meya wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (kulia) akisalimiana na wajumbe wa Bunge la Katiba Profesa Mark Mwandosya (kushoto) na John Shibuda(katikati) leo mjini Dodoma mara baada ya kumalizika kwa semina ya wajumbe hao iliyoandaliwa na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Meya wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (katikati) akibadilishana mawazo na Waziri wa Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (TAMISEMI) Hawa Ghasia (kulia) na Katibu Mkuu wa salimiana na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania Habraham Jacob Shamumoyo (kushoto) mara baada ya semina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Profesa Suleiman Ngware akitoa mada kuhusu Katiba na Serikali za Mitaa leo mjini Dodoma wakati wa semina ya wajumbe wa Bunge la Katiba ya kuwaelisha juu ya umuhimu wa kuiweka Serikali za Mitaa katika Katiba mpya.
Meya wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba(kulia) leo mjini Dodoma kabla ya semina ya wajumbe hao iliyoandaliwa na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Meya wa Jiji la Dar es salaaam Dkt. Didas Massaburi akitoa mada kuhusu Katiba na Serikali za Mitaa leo mjini Dodoma wakati wa semina ya wajumbe wa Bunge la Katiba ya kuwaelisha juu ya umuhimu wa kuiweka Serikali za Mitaa katika Katiba mpya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Hawa Ghasia akifungua semina ya siku moja leo mjini Dodoma ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba waliokuwa wakijadili ukuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
aadhi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika semina leo mjini Dodoma kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya akichangia maoni yake leo mjini Dodoma wa kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wenzake leo mjini Dodoma juu ya kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Moses Machali akichangia maoni yake leo mjini Dodoma wa kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Esther Juma (kushoto)na James Mbatia (kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya semina kuhusu Katiba mpya na Serikali za mitaa.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Shamin Khan akichangia maoni yake leo mjini Dodoma wa kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
South Africa links Rwanda diplomats to attacks
Kenya anti-terrorism squad gets $735 a month
Waislamu waendelea kuuawa na Anti-Balaka CAR
kuzisha hati Milioni moja wakimbia machafuko Sudan Kusiniwa
PITIA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DECEMBER 15, 2016
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: