DUKA la kuuza Rasta za wakina Dada (Urembo) limevamiwa na watu waliosadikika kuwa majambazi, Tukio hilo lijiri maeneo ya Kariakoo jijini Dar Es Salaam,
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari ni kwamba majambazi waliojaribu kufanya jaribio hilo baadhi yao wameuwawa na baadhi, Idadi kamili endelea kufatilia hapa maana waandishi pamoja na wadau bado wapo katika eneo la tukio kufatilia kwa kina,
Saturday, March 29, 2014
MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI:MAJAMBAZI WAVAMIA DUKA LA RASTA ZA KINADADA KARIAKOO WAUWAWA PAPOHAPO. TAZAMA HAPA
at 2:50:00 PM |  No comments
Share
HIVI PUNDEPosted by Unknown
-
RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA TOTAL AFRIKA MASHARIKI JAVIER RIELO ALIYEAMBATANA NA UJUMBE WAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
-
Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi Muhidini Ngurumo....
-
Waasi Sudan Kusini washutumiwa kwa mauaji ya halaiki
-
TAZAMA HII TENA..MTOTO WA MIAKA SITA AFICHWA UVUNGUNI MWA KITANDA...Cheki hapa
-
Hivi kweli Rais Wetu Huguswi na Wabunge wa Upinzani Kutoka Bungeni?
0 comments: