
ASKOFU wa Dayosisi ya Central Tanganyika, Godfrey Mhogolo amefariki dunia leo Nchini Afrika Kusini alikokuwa amekwenda kwa matitabu.. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kanisa la Angilikana Dodoma jana, ilisema kuwa Askofu Mhogolo kabla ya kufikwa na mauti alikuwa akitibiwa katika hospitali ya Milpark huko Johanesburg, Afrika Kusini. Askofu Mhogolo alikuwa askofu wa tano wa dayosisi ya Central Tanganyika na atazikwa katika viwanja vya kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Mjini Dodoma. Hata hivyo Mchungaji Michael Nchimbi alisema mipango ya mazishi inaendelea na taarifa zitatolewa baadaye. Mungu ametoa na sasa ametwaa Jina lake lihimidiwe.
Friday, March 28, 2014
ASKOFU WA KANISA LA ANGELIKANA DAYOSISI YA CENTRAL TANGANYIKA, GODFREY MHOGOLO AFARIKI DUNIA
at 12:42:00 AM |  No comments
Share
HABARI ZA INJILIPosted by Unknown
-
WANANCHI WAMUAHIDI PROFESSOR JAY USHINDI WA KISHINDO MIKUMI..Tazama hii...
-
LAFARGE TANZANIA YATOA SARUJI MIFUKO ZAIDI YA 1,000 KUJENGA UPYA MABWENI SEKONDARI YA IYUNGA.
-
MWIGULU NCHEMBA AANZA SAFARI YA KUHAKIKISHA WAFUGAJI WANAACHA KUFUGA KIHOLELA,WAFUGE KWA VITALU.
-
MADAWATI NA MASHUKA YENYE THAMANI YA MILIONI 10 YAKABITHIWA MKOANI MBEYA...Fungua hapa..
-
WANANCHI WENYE HASIRA KALI WAMPIGA NA KISHA KUMCHOMA MOTO KIJANA MMOJA KWA TUHUMA ZA WIZI..Bofya hapa...
0 comments: